Ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea katika maisha yetu hatuna budi kuwa na nidhamu ya fedha inayotokana na kipato chetu. Ili uwe na nidhamu ya fedha unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo;
Jifunze kuweka akiba kutokana na kipato chochote ulichonacho. Mfano unaweza kuwa uajiwekea hata kuanzia kianzio kidogo sana katika benki, huduma za kifedha kupitia huduma za simu.Kiasi chaweza kuanzia 1000, 5000,10000 hii inategemeana na wewe mwenyewe ulivyojipangaia.
Epuka matumizi yasiyo rasmi au lazima. fanya matumizi kwa vitu unavyovihitaji na wala siyo vile unavyovitaka, mfano tumia fedha kulipa ada, kodi,mavazi ya lazima, kununua chakula, bili za maji au umeme na vitu vingine vilivyo muhimu binadamu kuwa navyo au vile vinavyompasa binadamu kutumia pesa. Usitumie pesa kulewa hovyo,kutafta sifa kwa kuagiza round nyingi kwa ajili ya washkaji, kuonga au kugawa pesa hovyo bila sababu maalumu.
Iwekeze pesa yako ili ikue na kuzaa zaidi, mfano fungua biadhara au miradi itakayozalisha pesa yako.
Weka malengo hai ya maisha yako ambayo yataongoza katika matumizi sahihi ya fedha yako.
Epuka mikopo mibaya. mfano kukopa ili usafiri,uchangie harusi, kununua gari la starehe n.k. bali unaweza kukopa kununua kiwanja au kujenga nyumba za kibiashara kwasababu hivyo thamani yake huongezeka kila leo.
Kuwa na akiba ya dharula kama magonjwa, ajali au msiba.
Kuanzia leo jifunze kutumia fedha yako kwa usahihi zaidi ili baadae usije kujuta.

Thanks for reading Jinsi ya kuwa na nidhamu katika pesa zako
Post a Comment