Featured

    Featured Posts

KATIBU MUHTASI WA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA, MAMA HELEN MUHAKAMA AFARIKI DUNIA, LEO

 

Helen Mukama

CCM Lumumba, leo

Aliyekuwa Katibu Muhtasi Mwandamizi Ofisi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Mama Helen Mukama amefariki Dunia.


Taarifa kwa Watumishi wa CCM iliyotolewa na Mkuu wa Utawala Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salam, Robert Mwijage imesema Mama Mukama amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.



author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana