Featured

    Featured Posts

OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI (NAOT) YAADHIMISHA MIAKA 60 +video

Spika wa Bunge, Job Ndugai akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua Mpango Mkakati wa Miaka mitano wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) na Muongozo wa Kuwajengea Uwezo Wabunge wakati wa maadhimisho ya miaka 60 tangu ofisi hiyo ianzishwe nchini. Kushoto ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kicheere.
Spika Job Ndugai na CAG Charles Kicheere wakionesha mpango mkakati na muongozo huo.
Watumishi wa NAOT wakifungua champaign
Spika Ndugai, CAG Kicheere na Mhasibu Mkuu wa Hesabu Msaidizi, Aziz Kifile wakinyoosha juu glasi zenye champaign ikiwa ni ishara ya kutakiana heri.
Spika Ndugai (kulia) akisalimiana na aliyekuwa CAG Profesa Mussa Assad wakati wa maadhimisho hayo.
Spika Ndugai akipata maelezo alipokuwa anatembelea mabanda yenye nyaraka mbalimbali wakati wa maadhimisho hayo.

Sehemu ya watumishi wa ofisi ya NAOT
Baadhi ya wabunge ambao ni wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge wakiwa katika maadhimisho hayo.
Bendi ya JKT Makutupola ikitumbuiza wakati wa maadhimisho hayo,






 CAG Kicheere akimkabidhi zawadi Spika Ndugai.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau nakuomba uendelee kuona kupitia kwenye video hii ujue yaliyojiri wakati wa maadhimisho hayo.....

 

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda

 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

 0754264203

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana