Klabu ya Soka Simba SC rasmi ni mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa nne mfululizo.
Mabao mawili ya John Bocco na Chriss Mugalu kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Coastal Union uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa yametosha kuifanya Simba kutangaza ubingwa huo.
Hii ni baada ya kufikisha alama 79 ambazo hakuna timu yeyote ya ligi inaweza kuzifikisha kwa msimu huu.
Post a Comment