Featured

    Featured Posts

TUFANYE MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA CCM YENYE HADHI YA CHAMA CHETU-CHONGOLO+video

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 100 ya Chama cha Kikomunist cha China (CPC), kwenye Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere Kibaha mkoani Pwani, ambapo alitoa maagizo kwa viongozi wa CCM katika ngazi mbalimbali kufanya maandalizi mazuri ya maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa chama hicho yanayoendana na heshima na hadhi ya chama hicho chenye historia kubwa nchini, Afrika na Duniani.
Baadhi ya viongozi wa CCM wakiwa katika maadhimisho hayo.


 Imeandaliwa na Richard Mwaikenda,

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

0754264203


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana