Mkurugenzi wa TBL Plc, Jose D Maron, akiwaeleza Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara juu ya shughuli za kampuni wakati walipotembelea kiwanda cha bia cha Ilala mkoani Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa TBL Plc, Jose D Maron (katikati) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara,Mh.Davis Kihenzile (Kulia) wakati Wabunge wa kamati hiyo walipotembelea kiwanda cha bia cha Ilala mwishoni mwa wiki (Kushoto) ni Meneja wa masuala ya kodi wa TBL Plc,Avito Swai.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara wakiwasili katika eneo la kiwanda
Wajumbe wa Kamati ya Biashara ya Viwanda katika picha ya pamoja na Maofisa wa TBL Plc baada ya ziara hiyo
Post a Comment