Jerry Silaa
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka (kushoto) akizungumza na vyombo vya habari bungeni Dodoma leo Agosti 26, 2021, ambapo ameamuru kukamatwa kwa Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa na kufikishwa kwenye kamati kesho asubuhi saa 4 kujibu tuhuma za kulivunjia hadhi na heshima Bunge. Silaa alitakiwa leo afike kwenye kamati hiyo lakini hakufika na kwamba hakutoa taarifa yoyote. Kulia ni Maria Mdulugu Katibu wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka
ya Bunge.
PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Post a Comment