Viongozi wa Kampuni ya Silent Ocean ukikabidhi kwa Afisa Michezo wa Jeshi la Tanzania, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Jonas Mahanga (wa pili kushoto) jezi na vifaa vya michezo kwa ajili ya timu zinazoshiriki mashindano ya Majeshi yanayoendelea kwenye viwanja vya Shule ya John Marlini, mkoani Dodoma. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.Kutoka kulia ni Maafisa Masoko wa Silent Ocean, Sarungi Fadhil, Wilson Mrashani na Jamal Awadh. Silent Ocean ni wadhamini wa mashindano hayo pamoja na Kambi ya Taifa.
Timu ya Riadha ya Jeshi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mchuano kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment