Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika Mkutano wa pamoja na Katibu wa Bunge (hayupo kwenye picha) uliofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 29, 2021
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bi. Jane Kajiru akiwasilisha taarifa ya Maendeleo ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati wa Mkutano wa pamoja uliofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 29, 2021
Mwenyekiti wa TUGHE Ofisi ya Bunge, Bw. Chacha Nyakega akitolea ufafanuzi maswali mbalimbali yaliyoulizwa na Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati wa Mkutano wa pamoja uliofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 29, 2021
Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi (katikati) akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakati wa Mkutano wa pamoja uliofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 29, 2021, Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bi. Jane Kajiru na Mwenyekiti wa TUGHE Ofisi ya Bunge, Bw. Chacha Nyakega
Post a Comment