Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akisaini kitabu cha Salamu za Rambirambi za aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Elias Kwandikwa leo tarehe 8 Agosti 2021 kijijini Butibu katika halmashauri ya Ushetu .
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na Mjane wa marehemu Elias Kwandikwa Bi. Meryciana Kwandikwa kijijini Butibu katika halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga leo tarehe 8 Agosti mkoani Shinyanga2021.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimpa pole Mjane wa marehemu Bi. Meryciana Kwandikwa kijijini Butibu katika halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga leo tarehe 8 Agosti 2021.
Post a Comment