Rais Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye Ndege Katika Uwanja wa Ndege Jijini Dodoma, alipowasili akitokea Jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Samia Suluhu Hassan akilakiwa na viongozi mbalimbali, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege jijini Dodoma, akitokea Jijini Dar es Salaam, leo
Rais Samia Suluhu Hassan alisindikizwa na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka (kushoto), kwenda kupumzika, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege jijini Dodoma, akitokea Jijini Dar es Salaam, leo. (Picha zote na Ikulu)
Post a Comment