Wananchi wa Dodoma wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwasili katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo tarehe 14 Septemba, 2021 kwa ajili ya kuzindua Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022.
Msanii wa Bongo Flavour Ali Kiba akitumbuiza katika tukio la uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022 lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Msanii wa Bongo Flavour Nandy akitumbuiza katika tukio la uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022 lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Msanii wa Bongo Flavour Diamond Platnumz akitumbuiza katika tukio la uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022 lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. PICHA NA IKULU
Post a Comment