Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwsalimia wananchi wa kijiji cha Mahembe wilayani Kigoma wakati aliposimama alikiwa njiani kwenda kukagua shamba la michikichi la Gereza la Kwitanga, Septemba 17, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Hussein Ali Makorokocho (kushoto) wakati aliposikiliza na kuzitolea maelekezo kero za wananchi katika kijiji cha Mahembe wilayani Kogoma, aliposimama kijijini hapo akiwa njiani kwenda gereza la Kwitanga kukagua kilimo cha michikichi, Septemba 17, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mswali mbalimbali baada ya kuwasilikiza kutoka kwa wananchi aliposimama katika Kijiji cha Mahembe kusikiliza na kuzitolea maelekezo kero za wananchi katika kijiji hicho wilayani Kogoma, akiwa njiani kwenda Gereza la Kwitanga kukagua kilimo cha michikichi, Septemba 17, 2021. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment