Featured

    Featured Posts

MNDEME AKIWAPIGA MSASA WANANCHI KWENYE SHINA LA CCM, WILAYANI NEWALA, LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndg. Christina Mndeme akihutubia mkutano wa wakazi wa shina na 3, Newala mkoani Mtwara, siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo pamoja na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ikiwa na lengo la kukagua, kusimamia na kuhimiza utekelezaji wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020 - 2025. (Picha na Adam Mzee / CCM Makao Makuu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana