RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Watendaji wa Serikali wa Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa hiyo, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa ya Kaskazini na Kusini Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba
VIONGOZI wa Vyama vya Siasa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya majumuisho ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kumaliza ziara yake katika Mikoa miwili ya Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
WAKUU wa Taasisi na Idara za Serikali Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
WAKUU wa Mashirika ya Serikali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahor Masoud akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa Miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
Post a Comment