Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AWASILI DODOMA AKITOKEA MWANZA ALIKOTAWAZWA LEO UCHIFU MKUU WA MACHIFU TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea  Jijini Mwanza baada ya kutawazwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la Hangaya yani ni Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) lililofanyika leo Sept,08,2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mkoani Mwanza. (Picha na Ikulu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana