RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanafunzi na Walimu wa Skuli ya Sekondari ya Dr.Amani Abeid Amani, baada ya kupokea taarifa ya changamoto ya kukosa Dakhalia kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.(PICHA NA IKULU) WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari ya Dr,Amani Abeid Amani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika katika Skuli hiyo kupata changamoto ya Dakhalia kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Bw. Ali Khamis Juma,wakati wa ziara yake kutembelea Skuli ya Sekondari ya Dr. Amani Abeid Amani, kupata maelezo ya changamoto ya ukosefu wa Dakhalia katika Skuli hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Konde, akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba, alipowasili katika eneo linalotaka kujengwa Kituo cha Daladala na kupata maelezo ya ujenzi huo na kusikiliza kero za Wananchi wa Konde.
Post a Comment