Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika amesema kuwa wafanyabiashara wa Tanzania hawana uoga kuingia kwenye ushindani wa Eneo Huru la Biashara Afrika, bali kinachotakiwa Serikali iwawekee wafanyabiashara mazingira mazuri.
Mwanyika ameyasema hayo alipokuwa akichangia Azimio la Bunge kuridhia mkataba wa uanzishwaji wa Eneo Huru la Biashara Afrika bungeni Dodoma leo Septemba 9,2021.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ili ujue mambo mengi aliyochangia Mwanyika....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Post a Comment