Featured

    Featured Posts

WAZIRI KIJAJI AFUNGUA MAFUNZOYA WAJUMBE WA KAMATI YA UKAGUZI YA WIZARA

Waziri wa Habari, Mawasilano na Teknolojia ya habari, Dkt.Ashatu Kachwamba Kijaji, akifungua mafunzo  kwa wajumbe wa kamati ya Ukaguzi ya Wizara hiyo iliyofanyika jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Ashatu Kijaji, akitoa maelezo kuhusu mafunzo hayo.


Washiriki wa mkutabo huo na wanahabari wakimsikiliza Waziri na wakichukua habari katika mkutano huo.


 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana