Featured

    Featured Posts

DKT YONAZ AFUNGUA SEMINA KWA WATOA HUDUMA KWA POSTA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Jim Jonaz  akizungumza alipokuwa akifungua semina kwa watoa huduma za Posta ikiwa ni mwendelezo wa Maadhimisho ya Wiki  ya Posta Duniani jijini Dodoma leo Oktoba 7,2021.   la Posta Tanzania (TPC) imezindua Duka la Posta Mtandaoni ambapo inashirikiana  na  maduka 670 duniani. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Baadhi ya watoa huduma wakisikiliza kwa makini wakati Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt Yonaz  akifungua semina hiyo.











 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana