Tegeta, Dar es Salaam
Kanisa Halisi la MUNGU BABA imeandaa Ibada kubwa ya Mauzo na Uzalishaji ambayo itafanyika Jumapili ya Oktoba 10, 2021 (26 Abu, Vol.2) katika Viwanja vya Kanisa hilo, lililopo Tegeta Namanga, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
"Tunakukaribisha/Wakaribisha Wazalishaji na wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali kwa ajili ya kutangaza na kuuza bidhaa za aina zote kwenye ibada ya mauzo ya Uzalishaji itakayofanyika kwenye Viwanja vya Kanisa Halisi la Mungu Baba lililopo Tegeta Namanga", limesema tangazo la Kanisa hilo.
Kwa mujibu wa Tangazo hilo, Ibada hiyo ya Mauzo itafanyika kuanzia saa 11: 00 Alfajiri hadi saa 12 jioni.
KANISA HALISI LAWAKARIBISHA WAZALISHAJI NA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA NA KUUZA BIDHAA ZAO KATIKA IBADA YA MAUZO NA UZALISHAJI, JUMAPILI HII
![](http://img2.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
Post a Comment