Featured

    Featured Posts

mchikichi


Picha 1 ni Mkuu wa Gereza Kwitanga lililopo Mkoani Kigoma Kamishna Msaidizi wa Magereza Dkt Uswege Mwakahesya akiwaonyesha Mkurugenzi wa Uhaulishaji Teknolojia wa TARI Dkt Juliana Mwakasendo pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha TARI Kihinga Dkt. Filson Kagimbo mikungu ya chikichi aina ya TENERA kutoka kwenye mchikichi uliopandwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.[10/14, 14:01] Evelyne PR  Tari: Picha ya pili ni Mkurugenzi wa Uhaulishaji Teknolojia wa TARI Dkt. Juliana Mwakasendo  akishuhudia matokeo ya mchikichi wa TENERA uliopandwa na kutoa matunda ya kwanza kwa kipindi kilichotarajiwa kulingana na utafiti uliofanywa na TARI.
[10/14, 14:03] Evelyne PR  Tari: Picha ya tatu ikionyesha uzao wa kwanza wa mchikichi aina ya TENERA uliopandwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa  katika shamba la gereza Kwitanga mkoani Kigoma.

 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana