| Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mtaka msaada wa madawati kwa ajili ya shule mkoani humo. |
| Mkuu wa mkoa Dodoma, Mtaka akipokea msaada wa mabati kwa ajili ya kuezekea vyumba vya madarasa katika baadhi ya shule mkoani humo. |
| Mtaka akizindua Hati ya kiapo cha huduma kwa wateja wa NMB |
Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde akitoa pongezi kwa NMB kwa misaada mbalimbali wanayotoa katika sekta ya elimu jimboni humo.
Mbunge wa Bahi, Nollo akiishukuru NMB kwa msaada waliotoa wa mabati, mashuka na vitanda lakini vile vle kumpatia yeye mkopo wa fedha ya kuendeshea biashara yake.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Royal Agri, akitoa pongezi kwa NMB kwa kumpatia mkopo pamoja na kutoa mikopo kwa vijana.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Jabir Shekimweri akitoa shukrani kwa NMB kumpatia mkopo uliomfanya anunue basi na hivi sasa ana mabasi mengi.
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, akitoa pongezi kwa NMB kwa kuipatia wilaya hiyo misaada ya hali na mali.
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa wakuu wa wilaya nchini, Mwanahamisi Munkunda akitoa shukrani kwa NMB kuwa karibu nao kwa kutoa misaada katika wilaya mbalimbali nchini.
Mteja wa NMB, Jane Kiroma wa kampuni ya RJ akitoa pongezi kwa Benki ya NMB kwa kumpatia mkopo uliosaidia kuanzisha kampuni hiyo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment