Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AANZA LEO ZIARA MKOANI KILIMANJARO, AZINDUA BARABARA YA LAMI YA KILOMETA 32.2 SANYA JUU WILAYANI SIHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro baada ya kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa Kilomita 32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15, 2021.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Ujenzi Makame Mbarawa na baadhi ya watendaji Wakuu wa Wizara hiyo baada ya   kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa Kilomita  32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita 32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15, 2021. (Picha zote na Ikulu).
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana