Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI DODOMA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI MKOANI ARUSHA

 


  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kabla ya kuondoka na kurejea Jijini Dodoma mara baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 2 ya kikazi mkoani Arusha

   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 18 Oktoba, 2021 wakati akitokea Mkoani Arusha.  PICHA NA IKULU

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana