Magazeti ya leo, gazeti la mwananchi, global publisher, habari leo, habari mpya, ippmedia,magazeti ya leo tanzania, magazeti ya udaku, michuzi, michuzi blog, mpekuzi huru, mwananchi, mwanaspoti,nipashe, sekretarieti ya ajira
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka (wa tatu kulia) amezindua kiapo cha huduma kwa wateja wa Benki ya NMB wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Kimataifa ya Huduma kwa Wateja jijini Dodoma leo Oktoba 4, 2021.Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mwanahamisi Munkunda, Mbunge wa Bahi, Kollo, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zapuna na Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde.
Baadhi ya wafanyakazi wa NMB na wageni waalikwa wakishuhudia uzinduzi huo.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video hapa chini ujue yaliyojiri wakati wa uzinduzi huo....Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Post a Comment