Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA), Dk. Sidi Ould Tah, wakisaini marekebisho ya mkataba wa Mradi wa Bararaba ya Wete – Chake Chake, Pemba katika hafla iliyofanyika, jijini Dodoma, leo. (Picha na WFM – Dodoma)
Post a Comment