Featured

    Featured Posts

TIGO YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA, YAPUNGUZA BEI YA BIDHAA ZAKE+video

Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo, imezindua maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo imewaahidi wateja wao kupunguza bei ya bidhaa zao zikiwemo simu janja. Uzinduzi huo umefanyika leo katika katika duka lao eneo la Nyerere Square jijini Dodoma.
Baadhi ya wafanyakazi wa TIGO wakiwa na furaha wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja jijini Dodoma.

Msimamizi Duka la Tigo jijini Dodoma, Sania Mwilima akielezea kuwa  maadhimisho ya wiki hiyo zataenda sambamba na upunguzaji wa  bei ya bidhaa zikiwemo simu janja.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tigo wakiwa na furaha


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video hapa chini umsikie Msimamizi wa Duka, Sania Mwilima na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja, Mwangaza Matotola wakizungumzia uzinduzi huo.....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana