Featured

    Featured Posts

WAZIRI MKUU AGOMA KUFUNGUA BARABARA YA LAMI KWA KUWA UJENZI WAKE HAUJAKAMILIKA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  wakati alipokataa kufungua barabara  yenye uefu wa kilomia 1.2  iliyopo katika Halmashauri ya wilaya ya Liwale mkoani Lindi ambayo ujenzi wake haujakamilika kwa mujibu wa mkataba uliotiwa saini kati ya mkadarasi na Serikali.  Wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, wa pili kulia ni Mbunge wa Liwale, Zuberi Kuchauka na kulia ni Meneja wa TANROADS mkoa wa Lindi Mlavi Efatha (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana