Featured

    Featured Posts

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Eliezer Feleshi, ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Eliezer Feleshi, ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Eliezer Feleshi, baada ya mazungumzo yao ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, leo.(Picha na Ofisi ya Wazir Mkuu).
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana