Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, katika Kambi ya JWTZ 302 KV, Lugalo Jijini Dar es Salaam, leo.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Makamanda wa JWTZ alipowasili katika kambi ya JWTZ 302 KV Lugalo Jijini Dar es Salaam, kufungua Mkutano huo, leo.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi (CDF) Venance Mabeyo baada ya kufungua mkutano huo.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Makamanda wa JWTZ baada ya kufungua Mkutano huo. (Picha zote na Ikulu)
Post a Comment