Featured

    Featured Posts

KATIBU MKUU CHONGOLO NA SECRETARIET WATINGA KAGERA KIKAZI



Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akielekea kuhutubia wajumbe wa Kamati ya Siasa ya mkoa wa Kagera kwenye ukumbi wa Kayago mara baada ya mapokezi alipowasili mkoani humo ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa yenye lengo la kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025, leo Nyakanazi wilayani Biharamulo. (Picha na CCM Makao Makuu)
Chongolo akiteta jambo na Shaka
                                       
Katibu Mwenezi wa CCM, Shaka akihutubia katika mkutano huo.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana