Featured

    Featured Posts

MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge bungeni Dodoma leo.
Mbunge wa Viti Maalumu, Rose Tweve akiuliza vyuo vya ufundi.kwa Waziri Mkuu kwamba serikali ina mpango gani kutoa mikopo wanafunzi wa elimu ya kati  yaani kidato cha sita na 


Wanafunzi wa Chuo cha Mipango Dodoma wakiwa bungeni kujifunza uendeshaji wa Bunge. 
Mbunge wa Nyasa, Mhandisi Stelah Manyanya
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Naibu wake,  Masauni Ahamad Masauni.


Mbunge wa Sengerema, Hamisi Tabasamu akiuliza swali bungeni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt Elieyer Felesh  akiwasilisha muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali bungeni Dodoma.



Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mbarouk Nassor akijadiliana jambo na Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe kwenye viwanja vya Bunge.



Naibu Waziri wa Tamisemi, Dkt Festo Dugange akiwahi kuingia bungeni.
Mbunge wa Viti Maalumu Josephine Genzabuke akiingia bungeni 



 Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya akiingia bungeni leo.


PICHA ZOTE NA RFICHARD MWAIKENDA

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana