Featured

    Featured Posts

MBUNGE NOLLO AIHOJI SERIKALI BUNGENI NI LINI ITAJENGA BARABARA YA BIHAWANA HADI SANZA +video

 Mbunge wa Bahi, Kenneth Nollo ameihoji serikali bungeni Dodoma Novemba 12, 2021, kwamba ina mpango gani wa kujenga Barabara ya Bihawana- Chali hadi Sanza Manyoni kwa kiwango cha lami kwa kuwa barabara hii muhimu huwa haipitiki wakati wa masika?

Pia, aliuliza kuwa Serikali ina mpango gani wa kuinua tuta la barabara katika eneo la Chali ili iliweze kupitika wakati wote?Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia katika clip hii ya video, Mbunge Nollo akiihoji Serikali kuhusu changamoto hizo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM,
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana