Featured

    Featured Posts

WAZIRI MKUMBO AELEZEA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA NCHINI+video


Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika mwendelezo wa mikutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Novemba 17,2021, ambapo amepata wasaa wa kuelezea changamoto na mafanikio ya sekta ya viwanda ndani ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Mikutano hiyo ambayo hutoa fursa ya mawaziri kuelezea historia ya sekta zao tuliotoka, tulipo na tuendako na waandishi wa habari kuuliza maswali, huratibiwa na Idara ya Habari-Maelezo.


Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo wa Wizara ya Viwanda na Biashara.




 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Profesa Mkumbo akielezea historia ya sekta viwanda na biashara...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana