Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango akizungmza na Rais wa Armenia Armen Sarkissian walipokutana kabla ya kuanza kwa Jukwaa la Nne Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg linalofanyika katika Hoteli ya Cappella Kisiwa cha Santosa Nchini Singapore, leo Novemba 17, 2021.
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango akisalimiana na Mwanzilishi na Muandaaji wa Jukwaa la Nne la Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg Micheal Bloomberg, linalofanyika Nchini Singapore, walipokutana muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano huo, leo Novemba 17, 2021
Balozi wa Tanzania nchini India Baraka Luvanda akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu na Mbia Mwanzilishi wa Master Card, walipokutana kabla ya kuanza kwa mkutano wa Jukwaa la Nne la Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg linalofanyika katika Hoteli ya Cappella Kisiwa cha Santosa Nchini Singapore, leo Novemba 17, 2021. (Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais}
Post a Comment