Featured

    Featured Posts

PROF. NDALICHAKO AMSHUKURU RAIS SAMIA KUTOA SH. BILIONI 10 KUBORESHA BODI YA MAKTABA NCHINI+video

 

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ametoa shukrani kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Bajeti Kuu ya 2021/2022 kutenga zaidi ya sh. Bilioni 10 kuboresha huduma za maktaba nchini.Ameeleza hayo alipokuwa akizindua Bodi mpya ya Huduma za Maktaba nchini katika hafla iliyofanyika Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar e Salaam Januari 3, 2022.
Mwenyekiti wa Bodi ya Huduma ya Maktaba Tanzania (BOHUMATA), Profesa Rwekaza Mkandala akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Huduma ya Maktaba Tanzania,  Dkt. Mboni Amir Ruzegea akielezea changamoto na mafanikio ya taasisi hiyo.
Baadhi ya wajumbe wa Bodi Bohumata

Waziri Ndalichako akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo.


Waziri Ndalichako akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi, Prof. Rwekaza Mkandala nyaraka za kufanyia kazi.


Naibu Mwenyekiti wa Bohumata, Prof. Edda Tandi akitoa neno la shukrani baada ya Waziri Ndalichako kuhutubia.
 
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri wakati wa uzinduzi huo wa BOHUMATA.....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana