Featured

    Featured Posts

FEDHA ZA TOZO, MFUKO WA BARABARA NA JIMBO ZACHANGAMSHA UJENZI WA BARABARA LUKUKI MUSOMA VIJIJINI

 


UJENZI wa Barabara 16 unaendeleo katika kata mbalimbali jimboni Musoma Vijijini kutokana na vyanzo mbalimbali vya fedha.


Taarifa ya ujenzi huo zimetolewa hivi karibuni na Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo hilo.


A - FEDHA ZA BAJETI YA MAENDELEO (ROAD FUND DEVELOPMENT BUDGET) 2021/2022


(1) Mkirira - Kwangwa Hospital (Gharama: Tsh Milioni 350). Limekamilika kwa 90%


(2) Bukima-Bulinga- Bwasi (Gharama: Tsh Milioni 300). Ujenzi umekamilika 


B - Fedha za Jimbo

Masinono - Kinyang'erere (Gharama:  Tsh Milioni 500). Likiwemo Daraja la Jitirola na mengine mawili. Hatua za kumpata Mkandarasi zinakamilishwa


C - FEDHA ZA TOZO

(Jumla: Tsh bilioni 2)

Barabara zinazojengwa na utekelezaji umeanza:


(1) Mmahare-Etaro-Nyasaungu 

(2) Mugango-Bwai  Kwitururu- Kwikuba

(3) Bwai Kwitururu- Bwai Kumsoma 

(4) Maneke-Mayani- Kyawazaru 

(5) Nyaminya-Kataryo- Kyawazaru 

(6) Rwanga-Seka-Mikuyu 

(7) Saragana- Nyambono- Chumwi 

(8) Kaburabura-Masinono-Bugwema

(9) Bukima-Bulinga- Bwasi 

(10)  Busekera-Burungu 

(11) Chitare-Kurugee-Buraga (Kivukoni) 

(12) Kome - Buira 

(13) Kigera Etuma-Ekungu 

(14) Nyakatende-Kamguruk- Kigera Etuma 

(15) Mkirira-Nyegina-Esira 

(16) Kurukerege-Nyegina


TAARIFA kutoka:

*Ofisi ya TARURA (W)

*Ofisi ya Mbunge

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana