Featured

    Featured Posts

SPIKA DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ofisi za Makamu wa Rais zilizopo Vuga Mjini Zanzibar,leo Februari 24, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ofisi za Makamu wa Rais zilizopo Vuga Mjini Zanzibar,leo Februari 24, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson (Mb), akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ofisi za Makamu wa Rais zilizopo Vuga Mjini Zanzibar, Februari 24, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana