MAKAMU WA RAIS, DKT MPANGO AWASILI DODOMA AKITOKEA KENYA

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango leo tarehe 5 Machi 2022 akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma katika uwanja wa ndege wa Dodoma wakati akirejea nchini kutokea Nairobi nchini Kenya ambapo alishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Kimataifa la Mazingira ulioenda sambamba na maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP).
Post a Comment