Featured

    Featured Posts

RC MTAKA: SITARAJII WAJUMBE WA BARAZA LA ARDHI MGEUKE MADALALI WA ARDHI+video

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ametoa onyo kwa wajumbe wa mabaraza ya ardhi kuwa chanzo cha kuzalisha migogoro ya ardhi kwa wengine kudiriki kuwa madalali badala ya kuwa wasuluhishi wa migogoro katika maeneo yao. Ametoa onyo hilo alipokuwa akiwaapisha wajumbe 6 wa mabaraza ya ardhi wilaya ya Kongwa na Mpwapwa katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma leo Machi 4, 2022.






Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Fatma Maganga akijadiliana jambo na Mkuu wa Wilaya za Kongwa


Mtaka akisisitiza jambo katika hafla hiyo


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video RC Mtaka pamoja na mambo mengine akitoa onyo hilo.....
 

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana