Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Saidi Mtanda wakati wa Mapokezi yake yaliyofanyika Ofisi ya CCM mkoa wa Arusha, jana.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Shaka hamdu Shaka akiwatuza wacheza ngoma waliotumbuiza wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana (Watatu Kuhoto, kutoka kwa Shaka),alipowasili Jijini Arusha jana.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana alipokuwa akivishwa skafu baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Arusha, jana. (Picha zote na Ofisi ya Makao Makuu ya CCM)
Post a Comment