Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa akichangia mjdala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Madini bungeni Dodoma Aprili 29, 2022, ameishauri Serikali kuziwezesha TAASISI YA JIOLOJIA NA UTAFITI WA MADINI TANZANIA (GST) na Shirika la Madini Tanzania (STAMICO) ili kuboresha sekta ya madini nchini.Pia ameitaka serikali kunyang'anya maeneo ya uchimbaji madini yasiyoendelezwa na kuwapatia wachimbaji wadogo wa madini.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Magessa akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment