Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwainyika ameiomba serikali kutimiza ahadi ya kupeleka magari ya wagonjwa (AMBULANCE) katika vituo vitatu vya afya vilivyopo Njombe Mjini ili yasaidie kutoa huduma kwa wagonjwa.
Ametoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI bungeni Dodoma Aprili 29, 2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akisisitiza ahadi hiyo ya serikali....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment