UTAFITI
MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amesisitiza umuhimu wa kuwepo SERA NZURI ya UTAFITI. Tanzania nayo ianze kuwa na SATELLITE. Apendekeza COSTECH inapanuliwe zaidi na kupewa Bajeti kubwa zaidi ikiitwa NRIF (National Research & Innovation Foundation) AJiRA Prof Muhongo asisitiza umuhimu wa AJIRA nyingi kutoka kwenye Sekta za Kilimo, Uvuvi na Ufugaji.Prof Muhongo ameyasema hayo alipokuwa akichangia majadiliano ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma Aprili 11, 2022.
Tafadhali sikiliza VIDEO/CLIP yake iliyoambatanishwa hapa. Ofisi ya Mbunge Jimbo la Musoma Vijijini https://ift.tt/Dtqfh6M
Post a Comment