Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan (Pichani) jana Aprili 14, 2022 amefanya uteuzi wa viongozi na watendaji mbalimbali waTaasisi za Umma ikiwepo Bohari Kuu ya Dawa ya Serikali (MSD), Rais amefanya Uteuzi huo akiwa katika ziara ya kikazi Jijini Washington DC, Marekani. Taarifa kamili ya Uteuzi huo, hiyo👇
Post a Comment