Featured

    Featured Posts

BENKI YA NMB YANOGESHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiandamana wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Mei Mosi, 2022. NMB ni miongoni mwa wadhamini wa maadhimisho hayo yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma na mgeni rasmi akiwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais Samia Suluhu Hassan akiungana na viongozi wengine kuimba wimbo wa mshikamano wakati wa maadhimisho hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka akizungumza na maafisa wa Benki ya Nmb na kutoa shukrani kwa kudhamini maadhimisho hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka akihamasisha wafanyakazi wa mkoa huo wakati wa maandamano.
Shaban Kisu akisherehesha maadhimisho hayo
Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiandamana wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodom





 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana