Featured

    Featured Posts

CRDB BANK YAWA KINARA KUFANIKISHA MAY DAY DODOMA+video

 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka akihamasisha wafanyakazi wakati maandamano yaliyokuwa yakipita mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Benki ya CRDB walikuwa wadhamini wakuu wa maadhimisho hayo.
Rais Samia Suluhu Hassan akiungana na viongozi wengine kuimba wimbo wa mshikamano wakati wa maadhimisho hayo.
Mkurugenzi Mtendaji waBenki ya  CRDB wadhamini wakuuu wa maadhimnisho hayo, Abdulmajid Msekela akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho hayo ambapo alielezea baadhi ya huduma zinazotolewa na benki hiyo.


Gari la CRDB lenye mashine za ATM likipita wakati wa maadamano


Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiandamana wakati wa maadhimisho hayo


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB akielezea kuhusu mafanikio ya Mei Day....

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana