Featured

    Featured Posts

DKT NDUGULILE: MABORESHO YA SERA, MITAALA YA ELIMU YAENDANE NA SOKO LA DUNIA+video

 

 Mbunge wa Kigamboni, Dkt Faustine Ndugulile ameishauri serikali katika maboresho ya sera na mitaala ya elimu, somo la tehema liwe la msingi katika ngazi zote za elimu nchini ili kuendana na soko la sasa duniani.

Aidha, Dkt Ndugulile akitoa maoni yake katika mkutano wa wabunge uliondaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Dodoma Mei 7, 2022 jijini Dodoma, ameshauri sera na mitaala iende na wakati wa soko la dunia, lakini pia elimu iendane na ujuzi na ufundi.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Ndugulile akitoa maoni yake hayo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana