Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga ameishauri serikali kuongeza watumishi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ili kazi za upimaji ardhi na nyinginezo zifanyike haraka na kwa ubora unaotakiwa.Ametoa ushauri wake huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara hiyo Bungeni Dodoma Mei 27, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kamonga akitoa ushauri huo na mambo mengine...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment